RASMI CHAMA NI MALI YA SIMBA

RASMI sasa Clatous Chama ni mali ya Simba akitokea Klabu ya RS Berkane ambapo alikuwa huko akikipiga. Aliibuka msimu wa 2021/22 akitokea Simba lakini kwenye mkataba wake mpya kulikuwa na suala la kurejea ndani ya timu hiyo ikiwa kutakuwa na makubaliano ya pande zote mbili. Unakuwa ni usajili wa kwanza kutangazwa rasmi na Simba katika…

Read More

YANGA YAMALIZANA NA JEMBE HILI LA KAZI

KLABU ya Yanga imemtambulisha rasmi nyota Ibrahim Bacca kuwa ni njano na kijani kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu wa 2021/22. Nyota huyo wa zamani wa KMKM,Malindi na Taifa Jang’ombe sasa atakuwa ndani ya Ligi Kuu Bara chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Anaungana na Salim Aboubakhari, ‘Sure Boy’,Dennis Nkane,Aboutwalib Mshery ambao ni nyota…

Read More

GEITA GOLD KAMILI KUIVAA DODOMA JIJI

KIKOSI cha Geita Gold kimeshatia timu makao makuu ya nchi Dodoma kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho Januari 15 Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Geita Gold ni miongoni mwa timu ambazo zimepanda ligi msimu huu na imeweza kufanya usajili wa nyota…

Read More