VIDEO:MBOTO:WANATAMANI KUSEMA TUMEPATA KWA SHIDA,AMWAGA TAMBO

MSANII na shabiki mkubwa wa Yanga, Mboto amesema kuwa wapinzani wao wanatamani kusema kwamba wamepata ushindi kwa shida mbele ya Biashara United lakini wanashindwa.

 

Ushindi wa mabao 2-1 walioupata Yanga Desemba 26 mbele ya Biashara United unawafanya waweze kuwa na uhakika wa kumaliza 2021 wakiwa nafasi ya kwanza na pointi zao ni 26.