>

NYOTA WATATU WA AZAM FC KUIKOSA SIMBA

Bruce Kangwa, Nivere Tigere na Prince Dube wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi kuu Bara ujao dhidi ya Simba. Nyota hao wote watatu wameanza mazoezi katika timu ya taifa ya Zimbabwe. Simba na Azam FC zinatarajiwa kumenyana Januari Mosi 2022 kwenye mchezo wa kwanza wa ligi mwaka mpya. Nyota hao wote wapo nchini Zimbabwe tayari kwa…

Read More

MKUDE AFUNGA 2021 NA REKODI HII

JONAS Mkude, kiungo wa kazi zote chafu ndani ya uwanja amefunga kibabe mwaka 2021 kwa kutoa pasi yake ya kwanza ambayo ilikuwa ni zawadi ya Krismasi kwa mashabiki wake. Kiungo huyo ambaye kwa sasa ni chaguo la kwanza chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco awali zama za Didier Gomes hakuwa na nafasi ya kucheza kutokana…

Read More

KMC HAWANA BAHATI NA VIGOGO

KLABU ya KMC kwa msimu wa 2021/22 kwenye mechi zao mbili za vigogo ndani ya ligi hawajawa na bahati ya kusepa na pointi tatu zaidi walikuwa wakiambulia maumivu ya kunyooshwa. Ikumbukwe kwamba KMC makazi yao yapo Dar lakini kwa mechi zilizokuwa zikiwakutanisha dhidi Yanga na Simba walikuwa wakizipeleka nje ya Dar. Ilikuwa ni ile dhidi…

Read More

2022 IKAWE BORA NA YENYE MAFANIKIO PIA

2021 kwa sasa inahitaji kutuacha kwa kuwa tayari yale mapigano yote yamefanyika na wapo ambao wameambulia maumivu na wengine ilikuwa ni furaha kwao. Kwenye ulimwengu wa mpira tumeona namna ushindani ulivyokuwa kwa kila timu kupambana kusaka ushindi hilo ni jambo la msingi na ni muhimu kuendelea kufanyika. Pia kwenye Ligi ya Wanawake Tanzania nayo pia…

Read More

VIGOGO SIMBA WAKOMALIA ISHU YA CHAMA

VIGOGO wa Kamati ya Usajili ya Simba, chini ya Mtendaji Mkuu (C.E.O.) wa timu hiyo, Barbara Gonzalez, wameona isiwe shida na kuchukua maamuzi ya kupanda ndege kumfuata kiungo wao mchezeshaji Mzambia Clatous Chama anayekipiga RS Berkane ya nchini Morocco. Kiungo huyo anawindwa vikali na Yanga katika usajili huu wa dirisha dogo lililofunguliwa Desemba16, mwaka huu kwa ajili ya kukiboresha kikosi hicho. Simba imepanga kukiboresha…

Read More