WACHEZAJI YANGA WANAUMWA

KOCHA Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi akiwa kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari [Pre-Match Press Conference] amesema, kuna baadhi ya wachezaji wake ni wagonjwa kuelekea mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Tanzania Prisons. Nabi amesema bado hawezi kuthibitisha wachezaji wangapi wanaweza kukosekana kwenye mchezo wa kesho kwa sababu itategemea na watakavyoamka kesho. Nabi pia ametoa…

Read More

NYOTA HAWA KUTOLEWA KWA MKOPO YANGA

IKIWA kwa sasa dirisha dogo la usajili limefunguliwa nyota watatu wa Yanga wanatajwa kuwa kwenye hesabu za kutolewa kwa mkopo ili waweze kupata changamoto mpya katika timu nyingine kutokana na kukosa nafasi kikosi cha kwanza. Nyota hao ni pamoja na Abdalah Haji, beki huyu wa kati mzawa kwenye mechi nane za Yanga amecheza mechi moja…

Read More

WACHEZAJI SIMBA WAKUMBWA NA HOMA

WACHEZAJI wa Simba ambao leo wana kazi ya kusaka ushindi mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara wanakabiliwa na homa pamoja na mafua. Kwa mujibu wa Kocha Msaidizi wa Simba, mzawa Seleman Matola ameweka wazi kuwa wameweza kufika salama Kagera kwa ajili ya mchezo huo na wapo tayari lakini kuna baadhi ya…

Read More