
YANGA, AZAM ZAINGILIA USAJILI WA SIMBA
WAKATI Simba SC ikitajwa kuwa karibu zaidi kuipata saini ya mshambuliaji wa Zanaco FC, Moses Phiri, imeelezwa kuwa Yanga na Azam zimeingilia dili hilo. Mshambuliaji huyo ambaye aliwatesa Yanga katika mchezo wa kirafiki katika kilele cha Wiki ya Mwananchi, ameonekana kuwa lulu kwa timu mbalimbali hapa nchini. Hivi karibuni, ilielezwa kwamba, Phiri usajili…