SIMULIZI YA ALIYEACHWA KISA MKWANJA

SIMULIZI ya aliyeachwa kisa ishu ya mkwanja
Tuiishi pamoja na mume wangu Kibet katika kaunti ya Lamu ambapo nilifanya kazi ya udaktari katika
hospitali moja ya kibinafsi katika kaunti ile.

Mume wangu naye alifanya kazi ya uhandisi katika wizara ya
ujenzi kwenye kauti ile. Maisha yetu yalikuwa ya kutamaniwa kwani hakuna wakati hata mmoja tuligombana na mume wangu kwani hali ilikiwa shwari kabisa.

Wakati mwingine nilimpa mume wangu hata pesa za matumizi nayeye pia alinipa pesa kidogo kutoka kwenye mshahara wake.

Hali ilikuwa ni imara zaidi kwani upendo ulikuwa umetufikisha pazuri. Siku moja nilienda afisini na nikakumbana na barua
fulani kwenye meza yangu.

Niliifungua na kuisoma na kujua kwamba muda wangu wa kufanya kazi hapo ulikuwa umekwishwa na nilipaswa kuondoka jumlajumla.

Niliporejea nyumbani na kumwarifu mume wangu yaliyonikumba alinipa moyo kwani alisema kuwa angewajibika kama kichwa cha ndoa ile kuhakikisha kwamba mahitaji ya nyumba ile yametimizwa.

Nilipiga moyo konde na kufahamu kuwa nilikuwa na mume na nusu kwani alikuwa ameniahidi hata angenitafutia kazi mbadala kwani maisha ya kukaa nyumbani bila la kufanya ilikuwa ni jambo ambalo
mume wangu hakupenda hata kwa wakati wowote.

Siku zilivyosonga ndivyo mambo yalianza kubadilika.
Mume wangu alianza kunizomea pale nyumbani hata wakati mwingine alinita mwanamke mwenge anayelishwa.

Baada ya siku tisa baada ya kufutwa kazi mume wangu alinitoroka nisijue aliko kwani alikuwa amebadilisha hadi nambari yake ya simu kwa hivyo ilikuwa ni vigumu kuwasiliana naye.

Nilijharibu kuzungumza na marafiki wake ambao nilitarajia wajue alikokuwa amepotelea lakini hakuna
hata yeyote aliyejua.

Hali ile ilinipa msongo wa mawazo kwani nilikuwa nampenda mume wangu na nilipofikiria suala zima la kwanza kuolewa na mume mwingine suala hilo halikuniingia.

Kupoteza kazi kwangu kuliniacha kwenye msongo wa mawazo. Sikuwa na mume tena na hapo nyumba niliyokuwa nikiishi ilifungwa na hapo bidhaa ambazo tulikuwa nazo zilipigwa mnada ili kulipia ada kubwa ya upangaji.

Majirani walinicheka kwani walifahamu fika kwamba nilikuwa dakatari kwa wakati mmoja lakini maisha yalkikuwa yamnenipiga kweli.

Ilinibidi nianze kuuza nguo zangu moja kwa moja ili niweze
kujikimu kimaisha kwa wakati ule. Nilihamia kwenye kitongoji duni eneo lile na kuanza maisha upya.

Sikutaka kurejea kwetu nyumbani kwani hakuna mtu ata moja ambaye angenikaribisha kwani wote nikiwa daktari walionyesha dalili ya kutofurahishwa na kazi yangu.

Niliishi kibandani kitu cha maana kikiwa ni simu yangu aina ya INFINIX iliyonisaidia kuingia mtandaoni kila mara. Ilinisaidia pia kutafuta kazi kwani nilichapisha nyaraka na kutuma maobi ya kazi katika sehemu mbalimbali kwani hali ilikuwa
imenisukuma pabaya.

Siku moja nilipokuwa nilipokuwa kwenye harakati za kupekua vitu mtandaoni, nilipatana na wavuti www.kiwangadoctors.com ambapo daktari Kiwanga aliwasaidia watu wenye shida
kama zangu kujikwamua na hata baadaye kufanikiwa maishani.

Nilipompigia simu na hapo akanipa mwaliko katika ofisi zake mjini Nakuru. Siku iliyofuatia nilipatana naye nikamweleza yaliyonikumba na hapo akanihudumia kwa mpigo.

Nilirejea kwenye kitongoji duni nilipokuwa naishi na usiku ule
nilipokuwa nikilala simu iliita. Alikuwa ni bosi wangu wa kitambo kuwa alitaka siku iliyofuatia niweze kurudi rasmi katika kazi yangu ya udaktari na hata nilikuwa nimepandishwa cheo na mshahara
kuongezwa.

Ilikuwa ni mwamko mpya maishani mwangu. Nilianza kazi ile kwa ukakamavu. Baada ya siku tatu mume wangu alirejea mwenyewe na tukaanza maisha bila tashwishi yeyote.

Daktari Kiwanga ana uwezo wa kushughulikia mambo kadhalika na mengine pia. Wasiliana naye kwa nambari ya simu +254 769404965, barua pepe
kiwangadoctors@gmail.com ama Wavuti www.kiwangadoctors.com