PABLO: UTAKUWA MCHEZO MGUMU, LAKINI TUPO TAYARI

“Tunategemea mchezo mgumu lakini tuko tayari kwa mchezo wa kesho. Tunajua ni mchezo muhimu na tutapambana ili tupate alama tatu,”- Kocha Mkuu wa Simba SC, Pablo akizungumzia maandalizi ya mchezo wa kesho Ijumaa kati ya Simba SC dhidi ya Ruvu Shooting. “Tunawaheshimu wapinzani wetu lakini tumejipanga kushinda. Naamini mtaona mabadiliko.”- Gadiel Michael.

Read More

CHEKA, ALKASASU KUPASUANA USIKU WA MISHINDO

MABONDIA wa ngumi za kulipwa nchini,  Muksini Swalehe ‘Alkasusu’ na Cosmas Cheka wanatarajia kupanda ulingoni  Desemba 3, mwaka huu katika pambano la usiku wa mishindo ambalo limepangwa kupigwa kwenye Uwanja wa Kinesi jijini Dar.   Pambano hilo limetambulishwa leo kwenye mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika  kwenye Hoteli ya Atriums ambalo litashirikisha mabondia wengi, limeandaliwa…

Read More

MAKIPA PONGEZI MNASTAHILI,KAZI IINDELEE

KWENYE suala la kusaka ushindi uwanjani kuna wachezaji 11 ambao huwa wanapambana kwa ajili ya timu na ipo wazi ushindi unapatikana kwa ushirikiano wa kila mchezaji. Kwa habari ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kushindwa kupenya hatua ya mtoano wa Kombe la Dunia hiyo imeisha hakuna tutakachoweza kubadili zaidi ya maumivu. Tunajua kwamba…

Read More

SIMULIZI YA ALIYEPUNGUZA UZITO

SIMULIZI ya mwanamke aliyeweza kupunguza tatizo la uzito pamoja na unene Watu wengi ama kwa hakika haswa wanawake hupenda miili ambayo sio minene kupita matarajio yao. Wengi hupenda mwili wa kuvutia haswa  kila mara. Kwa jina ninaitwa Rebecca. Nilikuwa nashida ya kunenepa na kila mara watu wengi walinipa majina ya ajabu kutokana  na mwili wangu…

Read More

MZEE WA KUCHETUA BM APIGWA ‘STOP’SIMBA

MZEE wa kuchetua ndani ya kikosi cha Simba, Bernard Morrison amepigwa ‘stop’ kucheza faulo za akiwa kwenye mazoezi kwa wachezaji wengine ili kuepusha maumivu yasiyokuwa na lazima. Novemba 16 kwenye mazoezi ya Simba yaliyofanyika Uwanja wa Boko Veteran, Morrison alikuwa ni miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa kwenye mazoezi hayo chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco,…

Read More

FOUNTAIN GATE:MWENDO WA CHAMPIONSHIP ACHA TU

KIUNGO wa Fountain Gate,Daud Rashid ameweka wazi kuwa moto wa Championship sio wa kitoto kwa kuwa kila timu inapambana kusaka pointi tatu uwanjani. Kwenye msimamo timu hiyo ipo nafasi ya 6 baada ya kucheza mechi 7 kibindoni ina pointi 12 huku vinara wakiwa ni DTB FC wenye pointi 17. Rashid amesema kuwa hakuna timu ya…

Read More

AUCHO NA DJUMA KUIWAHI NAMUNGO

KHALID Aucho kiungo msumbufu na mzee wa kazi ndani ya Yanga anatarajiwa kuungana na kikosi leo kwa ajili ya kuelekea Lindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo. Pia Djuma Shaban naye ambaye ni beki wa kupanda na shaka naye atajiunga na timu hiyo kuwafuata Namungo. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga,…

Read More