>

SABABU YA KADI NYEKUNDU SIMBA IPO HIVI

Aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Simba, Hitimana Thierry, amevunja ukimya na kutaja kuwa kukamiwa na kuchezewa kwa nguvu nyingi na wapinzani wao ndiyo chanzo kikubwa cha wao kupata kadi nyekundu kwenye mechi wanazocheza nao. Hitamana ametoa kauli hiyo kufuatia kutokea kwa kadi nne nyekundu walizopewa wapinzani wao katika mechi nne kati ya tano walizocheza mpaka sasa kwenye ligi kuu.   Katika mchezo wa pili dhidi ya Dodoma Jiji, ilitoka kadi nyekundu ya kwanza…

Read More

INJINIA AFUNGUKIA ISHU YA MJADALA WA UDHAMINI

MKURUGENZI wa Uwekezaji wa GSM na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema mjadala ulioanzishwa na baadhi ya wachambuzi kuhusu udhamini wa kampuni ya GSM kwa vilabu mbalimbali ligi kuu ni siasa chafu kwa kuwa sio jambo geni katika ulimwengu wa soka.   Akizungumza na EA Radio, Injinia Hersi amesema…

Read More

KUMTOA BEKI HUYU AZAM FC, JIPANGE KWELIKWELI

MABOSI wa Simba na Yanga kwa sasa ikiwa watakuwa wanahitaji kupata saini ya beki wa kazi ndani ya kikosi cha Azam FC,Daniel Amoah lazima wajipange kwa kuwa amejifunga miaka mingine zaidi. Novemba 4, Amoah ambaye ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, George Lwandamina aliongeza dili la miaka miwili hivyo ataendelea kuwa ndani ya Azam…

Read More

HAJI MANARA:NYOTA WOTE NDANI YA YANGA NI VYUMA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa wachezaji wote ambao wamesajiliwa na kikosi hicho kwa msimu wa 2021/22 ni vyuma vya kazi jambo ambalo linawapa tabu benchi la ufundi kwenye suala la upangaji wa kikosi. Yanga ipo nafasi ya kwanza na pointi 15 huku safu yao ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao tisa na ile ya ulinzi imeokota…

Read More

SIMULIZI MUAMALA ULIOKOSEWA

SIMULIZI ya kijana aliyefanya makosa wakati wa kutuma shilingi, mkwanja kwa ndugu yake na namna muamala wake ulivyoweza kurejea. Sijawahi kuhisi jinsi nilihisi wakati mtu mmoja kwa jina Mpapale alipokea pesa yangu na kukataa kuirudisha. Nilikuwa na mgonjwa katika Hospitali moja kubwa Afrika Mashariki  na ilipangwa kutolewa Ijumaa. Nilikuwa nimepata mshahara wangu na nilidhani ni…

Read More

WEST HAM UNITED WAINYOSSHA LIVERPOOL

UWANJA wa London mambo yalikuwa magumu kwa Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu England baada ya kutulizwa kwa kufungwa mabao 3-2 dhidi ya Westham United.    Atajilaumu Alisson Ramses Becker ambaye alijifunga dakika ya nne katika harakati za kuokoa kona kisha Pablo Fornals alipachika kamba ya pili dakika ya 67 na msumari wa ushindi ulipachikwa…

Read More

PICHA LA YANGA KUCHUKUA UBINGWA WA LIGI LIMECHORWA HIVI

MTENDAJI Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha Mazingiza, ameweka wazi mpango mkakati wa kuhakikishatimu yao inatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu ni kuuchukulia kila mchezo kama fainali jambo ambalo litawanufaisha zaidi kukusanya pointi katika michezo yao. Yanga mpaka sasa wanaongoza ligi kuu wakiwa na pointi 15 baada ya kufanikiwa kushinda michezo yote mitano, wakiwa wamefunga mabao tisa na kuruhusu moja.   Senzo amesema ukubwa wa Yanga ndio chanzo cha kuhitaji kutwaa ubingwa…

Read More