Sunday, April 28, 2024
Home Tags Ligi Kuu Bara

Tag: Ligi Kuu Bara

YANGA HAWANA JAMBO DOGO WAWAPIGIA HESABU WAARABU

0
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga utakuwa ni maalumu kwa ajili ya kusaka...

SIMBA KUSHUSHA MKATA UMEME WA KAZI

0
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa kwenye mpango wa usajili utaongeza mkata umeme wa kazi mithili ya Fabrince Ngoma ili kuongeza uimara kwenye timu hiyo. Ipo...

MZUNGU WA SIMBA USAJILI WAKE WAWAPA JEURI YA KUTWAA MATAJI

0
BAADA ya uongozi wa Simba kukamilisha usajili wa straika Mserbia, Dejan Georgijevic, mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Ismail Rage, amefunguka kuwa, msimu huu...

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MBEYA KWANZA

0
KIKOSI cha Simba chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola leo kitakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Mbeya Kwanza. Hiki hapa kikosi kitakachoanza:- Beno...

NAMUNGO FC YAMPATA MRITHI WA MOROCCO

0
KLABU ya Namungo FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imetangaza benchi jipya la ufundi ambalo litainoa timu hiyo kwa msimu wa 2021/22. Hiyo ni baada...

JEMBE JIPYA YANGA KUANZA KAZI LEO

0
ABOUTWALIB Mshery ingizo jipya ndani ya Yanga linatarajiwa kuweza kuanza kazi leo Desemba 31 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji. Mshery...

NYOTA WA SIMBA NA YANGA WAANZA KAZI GEITA GOLD

0
KOCHA Mkuu wa Geita Gold  Fredy Felix Minziro, leo Desemba 17 ameanza kuwatumia wachezaji wake wapya katika kikosi chake kwa ajili ya kusaka pointi...

HUYU HAPA ATAJWA KUWA RADA ZA YANGA

0
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi wapo kwenye hesabu za kumsaka winga wa kazi ili awe ndani ya kikosi hicho. Yanga...