SIMBA KUSHUSHA MKATA UMEME WA KAZI

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa kwenye mpango wa usajili utaongeza mkata umeme wa kazi mithili ya Fabrince Ngoma ili kuongeza uimara kwenye timu hiyo. Ipo wazi kwamba Simba kwa msimu wa 2023/24 haijawa bora kwenye eneo la ulinzi na ushambuliaji huku eneo la ukabaji ikiwa na wachezaji wa kazi kama Fabrince Ngoma, Sadio Kanoute na…

Read More

MZUNGU WA SIMBA USAJILI WAKE WAWAPA JEURI YA KUTWAA MATAJI

BAADA ya uongozi wa Simba kukamilisha usajili wa straika Mserbia, Dejan Georgijevic, mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Ismail Rage, amefunguka kuwa, msimu huu wanakwenda kurudisha mataji yote waliyopoteza msimu uliopita. Simba imeendelea kujiimarisha kwenye eneo lake la ushambuliaji ambapo msimu huu wamekamilisha usajili wa viungo washambuliaji Nelson Okwa, Moses Phiri, Augustine Okrah na straika…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MBEYA KWANZA

KIKOSI cha Simba chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola leo kitakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Mbeya Kwanza. Hiki hapa kikosi kitakachoanza:- Beno Kakolanya Jummsone Gadiel Onyango Kenned Lwanga Kassim Nyoni Kibu Banda Mhilu Akiba Aly Inonga Bocco Hassan Shaffi

Read More

NAMUNGO FC YAMPATA MRITHI WA MOROCCO

KLABU ya Namungo FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imetangaza benchi jipya la ufundi ambalo litainoa timu hiyo kwa msimu wa 2021/22. Hiyo ni baada ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Hemed Morocco kuomba kujiweka kando kuinoa timu hiyo kutokana na mwendo ambao haukuwa mzuri kwenye mechi za ligi kwa msimu huu. Namungo imemtambulisha Hanour…

Read More

JEMBE JIPYA YANGA KUANZA KAZI LEO

ABOUTWALIB Mshery ingizo jipya ndani ya Yanga linatarajiwa kuweza kuanza kazi leo Desemba 31 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji. Mshery amesaini kandarasi ya miaka miwili akitokea Klabu ya Mtibwa Sugar yenye maskani yake pale Morogoro kwa ajili ya kuweza kupata changamoto mpya. Baada ya usajili wake kukamilika alianza mazoezi na…

Read More

NYOTA WA SIMBA NA YANGA WAANZA KAZI GEITA GOLD

KOCHA Mkuu wa Geita Gold  Fredy Felix Minziro, leo Desemba 17 ameanza kuwatumia wachezaji wake wapya katika kikosi chake kwa ajili ya kusaka pointi tatu muhimu. Maingizo hayo mapya yamekipiga ndani ya timu kongwe Simba na Yanga ni pamoja na beki wa kazi chafu, Juma Nyoso ambaye aliwahi kucheza Simba, Mbeya City na Kagera Sugar…

Read More

HUYU HAPA ATAJWA KUWA RADA ZA YANGA

IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi wapo kwenye hesabu za kumsaka winga wa kazi ili awe ndani ya kikosi hicho. Yanga inahitaji kufanya maboresho kidogo kwenye eneo la winga ili kuongeza makali kwenye kikosi hicho. Jina na Chico Ushindi winga mwenye miaka 25 anayekipiga ndani ya TP Mazembe anatajwa kuwa kwenye…

Read More