15 de Agosto vs Simba SC kupigwa bila mashabiki
UONGOZI wa Simba SC umetaja sababu za mabadiliko mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC de Agosto uliotarajiwa kuchezwa Oktoba 20,2026 Uwanja wa Uhuru. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema:“Kuhusu mchezo wa hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC 15 de Agosto ambao…