
AZIZ KI HANA JAMBO DOGO ANAVUNJA REKODI HUKO
MWAMBA Aziz Ki ni mtambo wa kuvunja rekodi ndani ya kikosi cha Yanga kutokana na kasi yake kuwa kwenye mwendelezo bora wakati wote kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Ikumbukwe kwamba aliibuka Yanga akitokea ASEC Mimosas ya Ivory Coast msimu wa 2022/23 ambapo alikuwa akitajwa pia kuwaniwa na Simba inayonolewa na Juma Mgunda. Ki aliyetambulishwa…