
HIKI HAPA KIKOSI CHA TAIFA STARS KUFUZU CHAN
Kocha ambaye atakiongoza kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ya wachezaji wa Ligi ya ndani Bakar Shime, ameita wachezaji kwa ajili ya mchezo wa kwanza dhidi ya Sudan ambao unatarajiwa kuchezwa Oktoba 27, 2024 nchini Mauritania. Shime amesema, ameita wachezaji wengi kutoka timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ ilikuendelea…