


SHINDA SAMSUNG A25 KWA KUSHIRIKI SUPER HELI
Meridianbet inakuletea shindano la kuvutia ambapo unaweza kujishindia simu mpya ya Samsung A25 kwa kucheza mchezo wa kusisimua wa Super Heli. Kuanzia tarehe 1 Juni hadi 30 Juni, washindi wawili kila Jumatatu watajinyakulia simu mpya kwa kushiriki kwenye huu mchezo wa kasino ya mtandaoni. Super Heli si tu burudani ya kipekee, bali pia ni njia…

MASTAA HAWA WALIVAA KITAMBAA CHA UNAHODHA MCHEZO MMOJA
KWENYE mchezo wa mwisho kwa Simba SC msimu wa 2024/25 wakiwa Uwanja wa nyumbani, KMC Complex, Juni 22 2025 kitambaa cha unahodha kilitembea katika mikono ya kutosha wachezaji wakibadilishana kutokana na sababu mbalimbali. Ikumbukwe kwamba ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids nahodha mkuu ni Mohamed Hussen Zimbwe Jr ambaye…

MATAIFA MATATU KUAMUA KARIAKOO DABI, SHEREHE ZA UBINGWA JUNI 25
JUNI 25 2025 sherehe za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara zinatarajiwa kufanyika Uwanja wa Mkapa mara baada ya mchezo wa Kariakoo Dabi, Yanga SC vs Simba SC kutamatika. Kwa mujibu wa Karim Boimanda, Ofisa Habari wa Bodi ya Ligi Tanzania, (TPLB) ameweka wazi kuwa mara baada ya mchezo huo kutamatika kutakuwa na sherehe za…

Bahati Yako Imefika! Wazdan Yavunja Rekodi kwa Zawadi za Bilioni Kupitia Mystery Multiplier Drop
Hodi! Hodi! Hodi!, Meridianbet imepiga hodi kwako mara tatu wewe mteja wa Meridianbet kukupatia taarifa kuwa yale mashindano makubwa ya WAZDAN sasa yameanza rasmi. Zaidi ya Bilioni 1 zipo kwaajili yako ingia na ujishindie sasa, Je unajua WAZDAN ni nini?. Wazdan ni mtoa huduma maarufu wa michezo ya kasino ya mtandaoni ambaye hutoa michezo…

PSG VS SETTLERS SOUNDERS: GG&3+ INA LIPI KWA AJILI YAKO?
Leo hii nafasi ni yako ya kushinda maradufu na wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet. Beti mechi ya Settle Sounders vs PSG kwa chaguo pekee la GG&3+ na ujindishie mara kibao kwenye mechi hii ya leo ya Kombe la Dunia la Vilabu. Kombe la Dunia ngazi ya vilabu yanaendelea huko Marekani ambapo tayari timu zingine zimeshafuzu…

YANGA SC VS SIMBA SC NI MVUTANO MWANZO MWISHO
YANGA SC vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi, kituo kinachofuata ni Kariakoo Dabi dhidi ya Simba SC Uwanja wa Benjamin Mkapa, Juni 25 2025 kwa wababe hao kukutana kusaka pointi tatu muhimu. Mchezo uliopita kwa Yanga SC, raundi ya 30 Juni 22 2025 ubao wa Uwanja wa New Amaan…

STEVEN MUKWALA AFIKISHA 13 KWA KUIFUNGA KAGERA SUGAR
NYOTA wa Simba SC, Steven Mukwala amefikisha jumla ya mabao 13 ndani ya ligi. Kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar Juni 22 alipachika bao moja. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba SC 1-0 Kagera Sugar. Bao hilo alipachika dakika ya 17 akiwa ndani ya 18. Mukwala alituma pasi ya David Kameta ambaye alipokea pasi…

YANGA SC KUCHUKUA UBINGWA MBELE YA SIMBA SC, WAMSHTUKIA MTANI
UONGOZI wa Yanga SC umeweka wazi kuwa pointi zao mbele ya Simba SC zitawapa ubingwa msimu wa 2024/25 katika Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora. Yanga SC inaongoza ligi ikiwa na pointi 79 kibindoni baada ya kucheza mechi 29 sawa na Simba SC ambayo ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi…

CAMARA AIFIKIA REKODI YA AIR MANULA SIMBA SC
MOUSSA Camara kipa namba moja wa Simba SC ameifikia rekodi ya Aishi Manula kipa wa Simba SC katika kukusanya hati safi ndani ya uwanja kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika. Camara, Juni 22 2025 alianza kikosi cha kwanza dhidi ya Kagera Sugar na aliokoa hatari mbili zilizokuwa…

TAARIFA ZA UJANJA UJANJA KUMONDOA RAIS WALLACE KARIA ZIACHWE
Tayari kuna taarifa kadhaa kutoka katika vyombo mbalimbali nje ya Tanzania kwamba kuna UJANJA unafanywa kwa ajili ya kumuondoa madarakani Wallace Karia. Inaelezwa eti Serikali ndio imeamua. Wajanja wanataka kutumia mwanya wa njia ya MKATO kuwaingiza wawatakao madarakani kwa faida ya mfanyabiashara MMOJA TU. Serikali haiwezi KUINGILIA MASUALA YA SOKA na hakuna kokote inaonyesha TFF…

MTAMBO HUU WA MABAO YANGA SC HATIHATI KUIKOSA SIMBA SC
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga SC ambacho kimefunga raundi ya 30 kwa ubao kusoma Yanga SC 5-0 Dodoma Jiji, Juni 22 kuna hatihati kuukosa mchezo wa Kariakoo Dabi, Juni 25 2025, Uwanja wa Mkapa. Ni Prince Dube ambaye hakuwa sehemu ya mchezo dhidi ya Dodoma Jiji baada ya kupata maumivu kwenye mchezo…

MERIDIANBET FOUNDATION YAADHIMISHA MIAKA MITANO YA MSAADA WA MASOMO NA UKUAJI WA TEKNOLOJIA
Meridianbet Foundation, taasisi ya kijamii chini ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), imeadhimisha miaka mitano ya mpango wake wa kimataifa wa kutoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi katika masoko 17 duniani. Mpango huu umejikita katika kuimarisha elimu na kuwawezesha vijana kupata ujuzi wa kisasa katika nyanja za teknolojia na dijitali. Zaidi ya msaada wa kifedha,…

HAYA HAPA MATOKEO YA RAUNDI YA 30, MWISHO WA RELI KIGOMA KUGUMU
MZUNGUKO wa 30 umegota mwisho huku yakikusanywa mabao 26 uwanjani ni Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma pekee ngoma ilikuwa ngumu kwa wababe hao kushuhudia bao kwa upande wowote ule ikiwa ni funga kazi ndani ya msimu wa 2024/25. Katika raundi ya 29 ni mabao 22 yalifungwa hivyo kasi imeongezeka raundi ya 30 yakiongezeka mabao manne…

MSHINDI WA VAZI BORA APONGEZA UZINDUZI WA HEINEKEN SILVER
Mshindi wa vazi bora katika kipengele cha “Silver Futuristic” ameibuka na kitita cha shilingi milioni 2, ametoa pongezi kwa uzinduzi wa kinywaji kipya cha Heineken Silver ambacho amesema ni laini kwa ladha lakini kina nguvu isiyo na mpinzani sokoni. Uzinduzi huo wa kuvutia ulifanyika usiku wa kuamkia Jumapili, Juni 22, 2025, ndani ya viunga vya…

YANGA YAIFUNGA DODOMA JIJI 5-0, YATUMA SALAMU KWA SIMBA KABLA YA DERBY
Klabu ya Yanga SC imeonyesha ubabe wake kwa kuichapa Dodoma Jiji mabao 5-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la New Amaan Complex, visiwani Zanzibar. Kwa ushindi huo mnono, Yanga si tu imejiongezea morali, bali pia imetuma ujumbe mzito kwa Simba kuwa wako tayari kwa vita ya kukata ubingwa au kulinda…

KAGERA SUGAR YASHUKA DARAJA RASMI, SIMBA YAPIGILIA MSUMARI WA MWISHO
Ni rasmi sasa! Kagera Sugar imeshuka daraja kutoka Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Simba SC kwenye mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Kagera Sugar, moja ya timu zenye historia ya muda mrefu katika ligi hiyo, sasa inajiandaa kwa maisha ya Championship msimu ujao.