
CLEMENT MZIZE NAMBA MOJA KWA WAKALI KUCHEKA NA NYAVU
Mshambuliaji wa Yanga SC Clement Mzize amekamilisha msimu wa 2024/24 akiwa na kicheko kutokana na timu hiyo kutwaa ubingwa wa ligi mbele ya Simba SC kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi, Juni 25 2025 Uwanja wa Mkapa. Kwenye mchezo huo namba 184 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga SC 2-0 Simba…