
JIUNGE NA KAMPENI YA “SHINDA KIBABE NA AIRTEL MONEY” PAMOJA NA MERIDIANBET
Meridianbet, kwa ushirikiano na Airtel Money, imezindua kwa ufahari kampeni ya “Shinda Kibabe na Airtel Money” ambayo inawapa wateja wote wanaotumia Airtel Money kuweka fedha kwenye akaunti zao za Meridianbet nafasi ya kushinda zawadi za kipekee. Kuanzia pikipiki mpya ya Bajaj, safari ya siku mbili Zanzibar kwa watu wawili, TV za Hisense, simu 20 za…