
MERIDIANBET FOUNDATION YAADHIMISHA MIAKA MITANO YA MSAADA WA MASOMO NA UKUAJI WA TEKNOLOJIA
Meridianbet Foundation, taasisi ya kijamii chini ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), imeadhimisha miaka mitano ya mpango wake wa kimataifa wa kutoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi katika masoko 17 duniani. Mpango huu umejikita katika kuimarisha elimu na kuwawezesha vijana kupata ujuzi wa kisasa katika nyanja za teknolojia na dijitali. Zaidi ya msaada wa kifedha,…