
HAPA HAALAND PALE RASHFORD MOTO UTAWAKA
Leo kitapigwa kipute kikali kati ya Manchester City dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ngao ya hisani, Mchezo huu ndo utafungua njia ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza 2024/25. Manchester City leo watashuka dimbani wakiwa wanapewa nafasi zaidi ya kushinda mchezo wa leo kutokana na ubora wa kikosi chao,…