
LEONEL ATEBA KUACHWA SIMBA SC
INAELEZWA kuwa kuna uwezekano mkubwa mshambuliaji wa Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids huenda akaachwa katika kikosi hicho kuelekea msimu mpya. Simba SC inatajwa kuwa kwenye mazungumzo ya kuachana na mshambuliaji huyo raia wa Cameroon, Lionel Ateba kutokana na kutoridhishwa na mwendo wake msimu uliopita. Inaelezwa kuwa mshambuliaji huyo anajiandaa kuondoka kambini Cairo,…