
BODI YA LIGI KUU YA SOKA TANZANIA (TPLB) YATHIBITISHA KUPOKEA BARUA YA KLABU YA YANGA
BODI ya Ligi Kuu ya soka Tanzania (TPLB) imethibitisha kupokea barua ya klabu ya Yanga Sc ya kuomba kuutumia uwanja wa KMC Complex kwa michezo yake ya nyumbani badala ya Azam Complex ambako walikuwa wanautumia awali ingawa ombi hilo bado halijatolewa majibu. Akizungumzia ombi hilo, Afisa Habari wa TPLB, Karim Boimanda amesema ombi la Yanga…