
TAIFA STARS KUSHUKA DIMBANI LEO DHIDI YA ETHIOPIA
TIMU ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itashuka dimbani leo Novemba 16, 2024 kwenye mchezo wa kuwania kufuzu kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia katika uwanja wa Taifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (Martyrs de la Pentecote) ikihitaji kufufua matumaini yake ya kukata tiketi ya AFCON 2025. Wenyeji, Ethiopia ambao wamechagua…