HAJI MANARA AFUNGUKIA ISHU YA TUZO

OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara amefunguka baada ya kubwagwa kwenye tuzo za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) msimu wa 2020/21, kipengele cha Muhamasishaji Bora. Tuzo hiyo ilikwenda kwa shabiki kindakindaki wa Taifa Stars, Nick Renold maarufu kama Bongo Zozo, ambaye aliwashinda Manara na Masau Bwire wa kKlabu ya Ruvu Shooting. Manara ambaye alikuwa akiwania…

Read More

MSAFARA WA SIMBA WAKWAMA KUWAFUATA RAJA

MSAFARA wa Simba ambao leo ulianza safari kueleke Morocco kupitia Qatar utaendelea na safari yake kesho Machi 29 2023 baada ya Ndege ambayo walianza nayo safari kupata hitilafu. Hivyo mpango wa kuendelea na safari leo kuelekea Morocco umekwama mpaka siku ya kesho mapema baada ya maboresho ya chombo hicho cha usafiri. Kwa mujibu wa Meneja…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA AL AHLY

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira leo kina kazi ya kusaka ushindi mchezo wa robo fainali African Football League. Hiki hapa kikosi cha kwanza ambacho kinatarajiwa kuanza kipo namna hii:- Ally Salim Shomari Kapombe Mohamed Hussein Henock Inonga Che Malone Sadio Kanoute Fabrince Ngoma Kibu Dennis John Bocco Saido Ntibanzokiza Clatous Chama

Read More