
MASTA GAMONDI REKODI ZAKE HIZI HAPA
KUELEKEA Kariakoo Dabi, Oktoba 19 2024 kila timu imekuwa ikipambana kufanya maandalizi na saa zinahesabika kwa sasa kujua nani atakuwa nani baada ya dakika 90 kugota mwisho. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi baada ya kucheza mechi nne ambazo ni dakika 360 imekomba ushindi mechi zote nne za Ligi Kuu Bara. Kwenye msako wa…