
LEONBET KUWAPELEKA WASHINDI WA BATA LA DABI KI-VIP SIMBA NA YANGA
Kampuni ya michezo ya kubashiri inayokua kwa kasi nchini, LEONBET, imeongeza ladha ya burudani kwa wateja wake kwa kuwazawadia tiketi za VIP kuiona mechi ya Simba na Yanga kupitia kampeni ya kampeni ya Bata La Derby. Washindi hao wataona mechi hiyo ya ligi kuu ya Tanzania Bara Jumamosi, Oktoba 19, 2024 kuanzia saa 11 jioni…