
YANGA WAIPA SIMBA NAFASI YA TATU, TAMBO TUPU
YANGA yaipa nafasi ya tatu Simba msimu wa 2024/25 kwenye ushindani katika Ngao ya Jamii ya Wanawake baada ya kuvuliwa taji na Yanga Pricess kwenye nusu fainali ya pili Uwanja wa KMC, Mwenge.
YANGA yaipa nafasi ya tatu Simba msimu wa 2024/25 kwenye ushindani katika Ngao ya Jamii ya Wanawake baada ya kuvuliwa taji na Yanga Pricess kwenye nusu fainali ya pili Uwanja wa KMC, Mwenge.
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Complex Mwenge. Rekodi zinaonyesha kuwa kwenye mechi 10 ambazo wamekutana hivi karibuni ushindi kwa Simba ni mechi 8 na walitoshana nguvu kwenye mechi mbili ambazo ni dakika…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga Maxi Nzengeli ana balaa zito uwanjani kutokana na kuwa na uwezo wa kufunga na kutengeneza nafasi za mabao kwenye mechi za ushindani msimu wa 2024/25 akiwa namba moja kwa wakali wa kutupia ndani ya Yanga kwenye ligi. Ni mabao matatu anayo kibindoni akiwa amefunga mabao hayo ugenini bao moja na Uwanja…
BAADA ya kukomba pointi tatu kwenye mchezo ulipita dhidi ya Dodoma Jiji, Septemba 29 2024 kikosi cha Simba leo kinatarajiwa kuwa na kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Coastal Union mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Mwenge. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo huo bao pekee la ushindi kwa Simba lilifungwa na Jean Ahoua dakika ya…
JOTO ya Kariakoo Dabi imeanza fukuto lake ambapo mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 19 kwa watani wa jadi kukutana uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Hapa ni baadhi ya mitambo ya kazi ya Simba na Yanga kuelekea Kariakoo Dabi.
FT: UWANJA: Azam Complex Ligi Kuu Bara Yanga 4-0 Pamba Jiji Goal Bacca dakika ya 4 Aziz Ki penalti dakika ya 45 Maxi Nzengeli dakika ya 54 Kenedy Musonda dakika ya 84. Beki wa Yanga Ibrahim Bacca ana jambo lake baada ya kufunga bao la pili mfululizo kwenye mechi mbili za ligi. Mbele ya…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wanakibarua cha kusaka pointi tatu ndani ya uwanja ambapo Oktoba wanamechi tatu zenye dakika 9 zinazosakwa na wao pamoja na wapinzani wao pia wanazihitaji pointi hizo tatu muhimu. Tayari Mzizima Dabi ya Azam FC v Simba mzunguko wa kwanza ulikamilika kwa ubao wa Uwanja wa New Amaan Complex kusoma Azam…
BAADA ya Oktoba 2 2024 nyuki wa Tabora, Tabora United kupoteza mchezo wao wa ligi dhidi ya wakulima wa zabibu Dodoma Jiji kuna dakika 90 nyingine za kazi leo Oktoba 3 2024. Ikumbukwe kwamba baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma ulisoma Dodoma Jiji 2-0 Tabora United na mabao yalifungwa na Paul…
OKOKA Mgavilenzi, Meneja Utekelezaji Sheria na kushughulikia malalamiko, Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tazania, (TIRA) amesema kuwa wateja wanaopata matatizo kwenye soko la bima wanachotakiwa kufanya ni kufika kwenye mamlaka na watashughulikia haraka. Mgavilenzi amesema kuwa wametoea elimu kwa Tanzania Insurance Brokers, (TIBA) kwa lengo la kuongeza ufanisi na weledi sokoni kwenye kutoa huduma kwa…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa watawakaanga sana wapinzani wao kutokana na ubora uliopo kwa wachezaji wao na matokeo ambayo wanapata.
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwenye mechi zijazo watapambana kufanya vizuri kupata pointi tatu muhimu ndani ya uwanja msimu wa 2024/25 ambao una ushindani mkubwa. Funga kazi ndani ya Azam FC kwa Septemba 29 ilikuwa dhidi ya Mashujaa ugenini baada ya dakika 90 ubao wa Lake Tanganyika ulisoma Mashujaa 0-0 Azam FC hivyo…
KARIAKOO Dabi ya Wanawake inatarajiwa kupigwa leo Uwanja wa KMC, Mwenge huku timu zote zikitamba kufanya vizuri kwenye msako wa ushindi wa Ngao ya Jamii 2024. Ikumbukwe kwamba ni Simba Queens hawa ni mabingwa watetezi wa taji hilo ambalo walitwaa 2023 hivyo watakuwa kazini kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Yanga Princess….
KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya betPawa imetumia jumla ya Sh 69.3 millioni kukamilisha ujenzi na uboreshwaji wa zahanati ya kijiji cha Nangomba ya mkoani Mtwara. Fedha hizo zimetimika katika ujenzi, uboreshaji na upanuzi wa zahanati hiyo kupitia programu ya Dream Maker yenye lengo la kusaidia kutatua changamoto mbalimbali katika jamii nchini. Meneja Masoko kanda…
KAMPUNI ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuwa ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, zinazojulikana kama Skyleader 600, zimeanza rasmi safari zake ndani na nje ya nchi. Mkurugenzi wa AAL, Bw David Grolig amesema kuwa ndege moja kati ya hizo tatu imetua kwa mara ya kwanza kwenye uwanja Ndege wa Kimataifa…
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa tayari ubaya ubwela umeanza kufanya kazi kwa vitendo jambo linalofanya wapinzani wao kuanza kutapatata kwenye mechi ambazo haziwahusu kwa namna yoyote ile. Simba baada ya kucheza mechi nne za ligi imekomba 12 ikipata ushindi kwenye mechi zote ambazo ilicheza huku safu ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao 10 ikiwa namba mbili…
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kutokana na mwendo ambao wanakwenda nao ndani ya ligi kuna mtu atalia akiingia kwenye mfumo kutokana na ubora walionao na uwezo wa kutengeneza nafasi. Rekodi zinaonyesha kuwa kwenye mchezo wa kwanza wa Yanga uliochezwa Uwanja wa Kaitaba, Agosti 29 na mwamuzi alikuwa ni William Abel Yanga ilifanya majaribio zaidi ya…
KOCHA Mkuu wa KMC Abdihamid Moalin amesema kuwa watafanya kazi kubwa kwenye kuimarisha safu ya ushambuliaji ili kuwa bora kwenye mechi ambazo wanacheza za ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara. KMC mchezo wake uliopita ilikuwa ugenini baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Yanga 1-0 KMC bao la ushindi lilifungwa na…