
DJIGUI DIARRA ANA BALAA ZITO
KIPA wa Yanga Djigui Diarra ana balaa zito uwanjani kutokana na kasi yake ya kuokoa hatari ndani ya lango akicheza mechi tano mfululizo bila kufungwa. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 Diarra alipishana na tuzo ya kipa bora ambayo ilikwenda mikononi mwa Ley Matampi ambaye msimu wa 2024/25 akiwa na Coastal Union hajawa katika ubora wake…