MWANANYAMALA YAFIKIWA SIKUKUU YA WANAWAKE

Sikuku ya wanawake duniani imekua ni baraka kwa wakina Mama wanaojishughulisha na ujasiriamali mdogo katika soko la Mwananyamala, Ambapo kampuni ya Meridianbet iliwafikia na kutoa msaada katika eneo hilo. Meridianbet walifanikiwa kufika eneo la Mwananyamala sokoni na kutoa msaada wa vyakula kwa kina Mama wanaofanya biashara katika soko hilo, Hii ni katika kuhakikisha wanathamini mchango…

Read More

ALIKIBA AZINDUA KITUO CHA REDIO

Mwanamuziki wa Tanzania Alikiba amezindua kituo cha redio kwa jina “Crown FM”. Uzinduzi huo ulifanyika usiku wa Jumamosi Machi 9 2024 katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dare es Salaam kwenye sherehe ya miaka 20 ya Kiba katika muziki. Akizungumza kwenye hafla hiyo, Kiba alielezea kwamba vyombo vya habari ni muhimu ndivyo vimemkuza kama mwanamuziki…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA COASTAL UNION, MANULA OUT

KUUMIA kwa Henock Inonga mwamba Che Malone anarejea kikosi cha kwanza dhidi ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union , Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Mbali na Che Malone pia Aishi Manula kipa namba moja wa Simba hayupo kwenye mpango kazi wa leo ambapo benchi yupo Ally Salim. Shomari Kapombe, Zimbwe, Kennedy Juma na Ayoub Lakred watakuwa…

Read More

MKALI WA MABAO AMEREJEA SIMBA

AMEREJEA ndani ya uwanja mkali wa mabao ndani ya kikosi cha Simba baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda kutokana na kutokuwa fiti. Ni Willy Onana ambaye anaitwa mali ameanza mazoezi na wachezaji wenzake kwa ajili ya kuendeleza ushindani na wachezaji wengine

Read More

FEISAL SALUM ANA BALAA HUYO

KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ana balaa huyo ndani ya uwanja kutokana na kasi yake kwenye kutimiza majukumu yake akiwa kwenye viunga vya Azam Complex msimu wa 2023/24 akiwa ni mzawa namba moja kwenye upande wa utupiaji mabao akiwa nayo 12 anafuatiwa na Aziz KI mwenye mabao 11 yupo zake ndani ya Yanga.

Read More

SIMBA WAIPIGIA HESABU COASTAL UNION

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hesabu kubwa kwasasa ni kupata pointi tatu mbele ya Coastal Union wakiwa ugenini kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara baada ya kupoteza mchezo uliopita Uwanja wa Jamhuri, Morogoro dhidi ya Tanzania Prisons. Ipo wazi kwamba mchezo wa kwanza kwa Simba kupoteza ilikuwa dhidi ya Yanga, Novemba 5 2023 ubao…

Read More