SIMBA YASHINDA 3-0 GEITA GOLD

ZORAN Maki,Kocha Mkuu wa Simba amesema ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Geita Gold walistahili kwa kuwa wachezaji walicheza kwa kujituma. Mabao ya Simba kwenye mchezo wa leo Agosti 17 yamefungwa na Agustino Okra,Moses Phiri na Clatous Chama ambaye amefunga kwa mkwaju wa penalti. Ushindi huo unaifanya iweze kufikisha pointi tatu na kuongoza ligi ikiwa…

Read More

YANGA KUIKABILI TP MAZEMBE KIVINGINE

KOCHA Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi, amesema kuwa watabadili mbinu kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe, huku akija kwa utofauti kulingana na mchezo husika. Nabi amesema kuwa kila mchezo una mbinu zake tofauti kulingana na aina ya wapinzani wanaokwenda kukutana nao jambo linalowapa nguvu ya kuingia uwanjani kusaka ushindi. Leo, Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa…

Read More

KIUNGO WA SIMBA SC KUIBUKIA AZAM FC

SADIO Kanoute kiungo wa kazi ambaye aliwahi kucheza katika kikosi cha Simba SC muda wowote atatambulishwa na matajiri wa Dar Azam FC baada ya kukamilisha masuala ya vipimo ili awe hapo ndani ya msimu wa 2025/26. Kaonoute tayari yupo kwenye ardhi ya Tanzania aliwasili Agosti 10 2025 kwa ajili ya kukamilisha masuala ya usajili ndani…

Read More

KOCHA BENCHIKHA OUT SIMBA

KOCHA Abdelhakh Benchikha aliyekuwa akiifundisha Simba sasa hatakuwa katikakatika majukumu hayo baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Benchikha mrithi wa mikoba ya Robert Oliveira mchezomchezo wake wa kwanza Kariakoo Dabi ilikuwa Aprili 20 2024 ubao ulisoma Yanga 2-1 Simba. Ni yeye alikuwa na timu katika mashindano ya Muungano 2024 kwenye mechi mbili walishinda zote…

Read More

ELLIE MPANZU KUONDOKA SIMBA SC? TIMU HII YATAJWA

WINGA wa Simba SC, Ellie Mpanzu anatajwa kuwa miongoni mwa wachezaji ambao wataondoka ndani ya kikosi cha Simba SC kutokana na ofa ambazo zipo mezani. Inaelezwa kuwa Klabu ya RS Berkane Waarabu wa Morocco wamekubali uwezo wa nyota huyo katika anga la kitaifa na kimataifa jambo linalotajwa kuwaleta Tanzania kufanya mazungumzo na Simba SC. Mpanzu…

Read More

Man United Wajiandaa Kushtua Soko la Usajili kwa Mabadiliko Makubwa

Manchester United inaripotiwa kupanga mageuzi makubwa ya kikosi chake katika dirisha lijalo la usajili wa majira ya joto, ikiwa na orodha ya wachezaji tisa wanaofuatiliwa kwa karibu ili kuimarisha maeneo muhimu ya uwanja. Kwa mujibu wa taarifa, moja ya majina yanayoongoza kwenye orodha hiyo ni kiungo wa Brighton & Hove Albion, Carlos Baleba, ambaye Manchester…

Read More

MASTAA HAWA WAKALI WA MIPIRA MIREFU

MABEKI wawili kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara wanaongoza kwa pasi ndefu za uhakika kwenye mechi za ligi. Nyota hawa wamekuwa wakifanya hivyo kwenye mechi ambazo wanacheza jambo ambalo linaongeza nguvu kwa timu hizo kufanya mashambulizi kuanzia nyuma kwenda mbele. Pia wamekuwa wakiweka uimara kwenye lango lao ndani ya dakika 90 kwenye kutimiza majukumu…

Read More

KIUNGO MGUMU KAANZA NA REKODI YAKE SIMBA

KIUNGO wa kazi ngumu, Sadio Kanoute ameanza na rekodi yake mbele ya kocha mpya, Abdelhak Benchikha kwa kuwa nyota wa kwanza kuonyeshwa kadi ya njano katika mchezo wa kwanza kukaa benchi. Ikumbukwe kwamba Benchikha ni mrithi wa mikoba ya Roberto Oliveira, mchezo wake wa kwanza kukiongoza kikosi cha Simba ilikuwa Desemba 2, alishuhudi ubao ukisoma…

Read More

TABORA UNITED YATANGAZA KUACHANA NA KOCHA WAKE

Klabu ya Tabora United imetangaza kufikia makubaliano ya pande zote mbili ya kusitisha makubalino baina ya aliyekuwa kocha wake Mkuu Francis Kimanzi pamoja na msaidizi wake Yusuph Chipo kunzia leo Oktoba 21. Taarifa ya klabu hiyo ya leo Oktoba 21, 2024 imebainisha kuwa sababu za kusitisha makubaliano hayo ni kutokana na mwenendo usioridhisha wa matokeo…

Read More

MKUDE AFUNGUKA BAADA YA KUACHWA

MARA baada ya kutangazwa rasmi kutokuwa sehemu ya Simba kwa msimu ujao, aliyekuwa kiungo wa timu hiyo, Jonas Mkude amefunguka kuwa anawashukuru Simba kwa sapoti waliyompa katika kipindi chote cha maisha yake na kuwatakia kila la kheri. Mkude alitangazwa rasmi kutokuwa sehemu ya kikosi cha Simba kwa msimu ujao juzi Alhamisi baada ya kumaliza mkataba…

Read More