YANGA HAWATANII WANATAKA POINTI ZA FOUNTAIN GATE

BEKI wa Yanga, Israel Mwenda amesema kuwa ambacho wanahitaji kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Fountain Gate, Aprili 21 ni pointi tatu muhimu baada ya dakika 90. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza, Yanga ilipata ushindi wa mabao 5-0 mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex. Mwenda ambaye ni chaguo la kwanza…

Read More

Alhamisi ya Leo ni Za Hela Meridianbet

Mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania nzima Meridianbet wanaendelea kukupatia kile ambacho wewe unakitaka kwenye mechi za ligi mbalimbali zinazoendelea Duniani kote. Unakosaje sasa kukwapua mpunga wa maana?. Beti sasa na ushinde na Meridianbet. Ligi kuu ya Misri (EGYPT PREMIER LEAGUE) kutakuwa na mtanange mzito leo hiihsaa 1:00 usiku El Zamalek atamualika nyumbani kwake Future FC…

Read More

KISIKI YAKWAA BARCELONA KUMNASA KIUNGO CITY

 PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amebainisha kuwa kiungo Bernardo Silva hatajiunga na Barcelona kwa sababu mpaka sasa hakuna mbadala wake. Kocha huyo amebainisha kuwa mchezaji huyo ni kiungo wa kipekee ndani ya timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England hivyo timu hiyo inakutana na kisiki kupata saini ya mwamba Silva. Nyota Silva alikuwa kwenye…

Read More

RATIBA YA LIGI KUU BARA,MATOKEO BONGO

 MEI 18, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa timu kuzidi kusaka ushindi kwenye mechi ambazo watacheza na leo ni mchezo mmoja tu wa mzunguko wa pili unatarajiwa kuchezwa. Azam FC itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Azam FC mchezo unaotarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku. Azam FC ipo nafasi ya 5 ikiwa na pointi…

Read More

KUMBE! MAKAMBO ALIMUAMBIA AZIZ KI ATAFUNGA

SABABU kubwa ya Aziz KI kumfuata Heritier Makambo baada ya kufunga bao mbele ya Mtibwa Sugar ni ahadi ambayo alipewa. Mtu wa karibu wa wachezaji hao amesema kuwa Makambo alimuamuambia Aziz KI kuwa atafanya jambo lolote kwenye mchezo huo kufunga ama kutoa pasi. “Makambo alipokuwa benchi alimuambia Aziz KI nenda uwanjani una bao lako hapo…

Read More

SINGIDA BLACK STARS HAWACHEKI NA YEYOTE

BAADA ya Singida Black Stars kutinga hatua ya nusu fainali uongozi umebainisha kuwa utapambana kupata matokeo kwenye mchezo wao wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Simba ili watinge hatua ya fainali. Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga, Aprili 15 2025 walikata tiketi yakutiga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa mabao 8-1 dhidi…

Read More

Slotopia Imeingia na Balaa Lake, Usikose Kuokota Kupitia Meridianbet

Katika harakati za kuendelea kuimarisha burudani kwa wateja wake, Meridianbet kwa mara nyingine imeibuka na habari njema kwa wapenda michezo ya kasino mtandaoni. Kupitia jukwaa lake la kisasa, Meridianbet sasa imeanzisha ushirikiano mpya na mtoa huduma wa michezo anayefahamika kama Slotopia, jina jipya lakini lenye maudhui mazito ya ubunifu na ushindi mkubwa. Slotopia si mtoa…

Read More

EPL, LALIGA, SERIE A, LIGUE 1 Zote Kukupa Mkwanja Leo

Hayawi hayawi sasa yamekuwa na Waswahili husema kuwa usiku wa deni haukawii kukucha na hii inatupeleka moja kwa moja mpaka Uingereza ambapo ndio ligi iliyobaki pekee haijatoa bingwa wa EPL. Je ni Pep au Arteta? EPL leo katika dimba la Emirates, Arsenal watakuwa wakisaka pointi tatu za ubingwa dhidi ya Everton ambao wapo nafasi ya…

Read More

YANGA KUTUMA UJUMBE CAF KWA MTINDO HUU

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika wanahitaji ushindi mkubwa dhidi ya Vital’O ili kutuma salamu kwa wapinzani wao Afrika. Agosti 24 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa marudio. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amebainisha kwamba wanatambua umuhimu…

Read More

STRAIKA WA MABAO HANA FURAHA SIMBA

HABARI mbaya kwa mashabiki wa Simba zinadai kuwa mshambuliaji wao raia wa Zambia, Moses Phiri hana furaha ndani ya timu hiyo na huenda akaondoka kikosini hapo kama mambo yataendelea kuwa magumu kwake. Phiri ndani ya Simba amekuwa na wakati mgumu kutokana na kushindwa kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Msimu…

Read More

Dar City, Fox Divas watwaa ubingwa wa betPawa NBL 2025

Timu ya Dar City kwa upande wa wanaume na Fox Divas kwa upande wa wanawake zimetwaa ubingwa wa mashindano ya klabu bingwa ya mpira wa kikapu Tanzania (betPawa NBL 2025) yaliyomalizika Jumamosi kwenye uwanja wa Chinangali, mkoani Dodoma. Dar City ilitwaa kombe hilo baada ya kuichakaza Kisasa Heroes kwa pointi 80-51 wakati Fox Divas iliisambaratisha…

Read More

HAPA NDIPO DENI LILIPO KWA BEKI WA KAZI YANGA

BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi, Ibrahim Bacca deni lake la mabao kwa sasa ni 11 ili kufanikisha malengo aliyokuwa nayo msimu wa 2024/25. Beki huyo mwanzo wa msimu baada ya kufungua akaunti yake ya mabao kwenye mchezo dhidi ya Ken Gold uliochezwa Uwanja wa Sokoine alibainisha…

Read More