MDAKA MISHALE KARUDI, DUBE NDANI

KIPA namba moja wa Yanga, Djigui Diarra amerejea langoni hivyo ataanza mbele ya Singida Black Stars kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, New Amaan Complex kwa wababe wawili kuwa uwanjani kusaka pointi tatu. Miguel Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga ameanza na Dennis Nkane ikiwa ni mchezo wake wa kwanza kuanza kikosi cha kwanza, Boka, Bakari…

Read More

AZAM FC HAWATAKI UTANI HUKO

MATAJIRI wa Dar, Azam FC hawataki utani kwenye mechi zao za ligi kwa kuweka wazi kuwa watendelea kasi yao ileile waliyoanza nayo kwenye mechi za ugenini. Ipo wazi kuwa kwenye mechi mbili za ugenini Azam FC inayonolewa na Yusuph Dabo ilikomba pointi sita mazima ndani ya dakika 180. Ilianza kushuhudia ubao wa Uwanja wa Lake…

Read More

KILA MCHEZAJI KUCHEZA NDANI YA SIMBA

KOCHA mkuu wa Simba, Pablo Franco ameweka wazi kuwa anataka kuona kila mchezaji wa timu hiyo anapambana kuhakikisha anafanya bidii mazoezini kila anapopewa nafasi kwa kuwa amepanga kumpa kila mchezaji nafasi ya kucheza.   Pablo Jumapili aliiongoza Simba kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam, kwenye mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika…

Read More

MUSUKUMA AKIWASHA SAKATA LA YANGA NA SIMBA BUNGENI

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, amepongeza uongozi wa Rais mstaafu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodgar Tenga, akisema kuwa ametoa mchango mkubwa katika kuendeleza michezo nchini na kwamba ni kiongozi wa kuigwa. Akizungumza wakati wa mjadala wa bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 ya Wizara…

Read More

SIMBA KUWAPA FURAHA MASHABIKI

NAHODHA wa Simba, John Bocco amesema kuwa watautumia mchezo wao wa ligi dhidi ya Ruvu Shooting kuwapa furaha mashabaki. Timu hiyo ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikiwa imekusanya pointi 64 vinara ni Yanga wenye pointi 71. Yanga na Simba zote zimecheza mechi 27 na ni mechi tatu zipo kwenye mikono yao kukamilisha…

Read More

VIDEO:YANGA WAKIRI KUKUTANA NA MAZINGIRA MAGUMU KIMATAIFA

RAIS wa Yanga, Injinia Hers Said amesema matokeo ambayo wameyapata kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika hayakuwa upande wao kwa kuwa walikuwa wanahitaji kusonga mbele lakini mazingira yalikuwa magumu sana na walikutana na ‘epsod’ yenyewe kuliko ile waliyopata St George. Yanga ilipoteza kw kufungwa bao 1-0 na kuifanya itolewe kwenye hatua ya kuelekea hatua ya Ligi…

Read More

AZIZ KI MASTA ANA BALAA HUYO TATU BORA

AZIZ KI kiungo wa Yanga ni kiboko yao kwa makipa wote namba moja ndani ya timu zilizo tatu bora kwa kuwa kawatungua kwenye mechi za ligi walipokutana. Nyota huyo katupia jumla ya mabao saba kibindoni akiwa na pasi moja ya bao kwa msimu wa 2023/24 ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Kwenye…

Read More

MAJEMBE HAYA YA KAZI KAMILI SIMBA KUIVAA HOROYA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kilakitu kinakwenda sawa na wachezaji wote wapo tayari. “Wachezaji wetu ambao tuliwakosa kwenye mchezo uliopita dhidi ya…

Read More

YANGA YAVUTA WATANO, MIKATABA MASTAA SIMBA YACHANWA

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA! Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya ya Simba au Yanga za msimu wa 2023/2024, pindi ununuapo gazeti letu kupitia Global App. Soma Gazeti…

Read More

MWAMBA HUYU AINGA ANGA ZA JANGWANI

NYOTA Cheickna Diakite anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Yanga, Nyota huyo anakipiga ndani ya kikosi cha Real Bamako ambacho leo kitatupa kete yake dhidi ya Yanga. Winga huyo ni moja ya wanaofanya vizuri kwenye kikosi hicho ambacho kina maskani yake Mali. Ni miaka 18 anayo kijana huyo akiwa anakipiga ndani ya Real Bamako.

Read More