
CLATOUS CHAMA MAMBO BADO YANGA
WAKATI mwamba Maxi Nzengeli akiwa chini ya uangalizi maalumu ndani ya Yanga bado kiungo Clatous Chama atakosekana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Fountain Gate. Chama hakuwa kwenye mechi iliyopita dhidi ya Dodoma Jiji wakati ubao wa Jamhuri, Dodoma ukisoma Dodoma Jiji 0-4 Yanga mabao mawili ya Clement Mzize, Prince Dube alitupia bao…