
YANGA KUPOTEZA IMEWAUMA KWELIKWELI
ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa kupoteza mchezo wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara kumewapa maumivu kwa kuwa wamesemwa mpaka na mama. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2024/25 Yanga ilicheza mechi 8 haikupoteza ilishinda kwenye mechi zilizo ndani ya tatu bora kwa kuifunga Simba 0-1 Yanga, Singida Black Stars 0-1 Yanga. Ni Novemba…