YANGA YAIPIGIA HESABU AZAM FC

OFISA Habari wa Yanga,Haji Manara amesema kuwa licha ya kutambua ubora wa Azam FC lakini anaamini kuwa kikosi cha Yanga kina uwezo mkubwa wa kuondoka na ushindi mbele ya Azam FC. Yanga Oktoba 30, katika Uwanja wa Benjamini Mkapa watakuwa na kibarua cha kucheza na Azam FC huku wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza kwa bao…

Read More

MERIDIANBET YAWAKUMBUKA WAFANYA USAFI KINONDONI KWA MSAADA WA VIFAA VYA KAZI

Kwenye Dunia ya leo ambapo maendeleo ya kiuchumi na kijamii yanachukua nafasi kubwa kwenye mijadala, kuna hitaji la dhati kwa taasisi na makampuni binafsi kuchangia kwa vitendo katika ustawi wa jamii. Hili ndilo limejidhihirisha baada ya kampuni ya Meridianbet kuchukua hatua ya kipekee ya kutoa msaada wa vifaa vya usafi kwa vikundi vya wasafishaji barabara…

Read More

AZAM FC V SIMBA,ACHA IWE NA REKODI ZAO

UKIAMINI umesimama muhimu uendelee kupambana ili usianguke itafahamika leo Mei 7, Uwanja wa Nangwanda Sijaona kwenye mchezo wa nusu fainali Azam Sports Federation. Timu zote zinaingia uwanjani zikiwa na kazi ya kusepa na ushindi ili kutinga hatua ya fainali unaambiwa acha moto uwake mshindi apatikane. Hapa  tunakuletea namna uimara ulivyo kwa wapinzani hawa wawili namna…

Read More

FADLU ATUMA UJUMBE KWA TABORA UNITED

FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wanatambua mchezo wao dhidi ya Tabora United utakuwa na ushindani mkubwa lakini wapo tayari kwa ajili ya kupata pointi tatu muhimu. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa KMC, baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 3-0 Tabora United huu ni mchezo wa mzunguko wa…

Read More

YANGA YAANZA MAZUNGUMZO NA CHAMA

UONGOZI wa Yanga umeanza rasmi mazungumzo na wakala wa kiungo mshambuliaji Mzambia, Clatous Chamaanayekipiga Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu uongozi wa Yanga kuanza mazungumzo na Berkane inayommiliki baada ya kumnunua kutoka Simba kwa dau la Sh 1Bil. Mzambia huyo alijiunga na Berkane katika msimu huu  baada ya timu hiyo kufikia muafaka mzuri na Simba kwa ajili ya kumnunua. Mmoja wa mabosi wa Yanga, amesema kuwa,…

Read More

HAWA HAPA WAITWA STARS,MKUDE,SAMATAA NDANI

LEO Machi 15,2022 Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Kim Poulsen ametangaza rasmi orodha ya wachezaji ambao wataingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya kirafiki zilizo kwenye kalnda ya FIFA. Nyota hao ni pamoja na:-Aishi Manula wa Simba Metacha Mnata wa Polisi Tanzania Aboutwalib Mshery wa Yanga hawa ni kwa upande…

Read More

WINGA LA KAZI AFUNGUKA KUTUA YANGA

WINGA wa pembeni wa kimataifa wa Uganda, Allan Okello ameweka wazi kuwa tayari kujiunga na Yanga endapo viongozi wa timu hiyo watakuwa tayari kuhitaji saini yake na kufanya mazungumzo kwa ajili ya kukamilisha dili hilo.   Okello mwenye umri wa miaka 22 ni moja kati ya wachezaji bora chipukizi kutoka nchini Uganda mwenye uwezo mkubwa…

Read More

YANGA WANAKIMBIZA KILA KONA BONGO

YANGA hawacheki na wowote huko ni spidi ndefu kila kona kutokana na rekodi ambazo zinaandikwa na wachezaji wao uwanjani katika eneo la kufunga na kutoa pasi za mabao, iwe wameanza kikosi cha kwanza ama wameanzia benchi. Mchezo dhidi ya Mashujaa uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, Februari 23 2025 baada ya dakika 90 ubao ukasoma Mashujaa…

Read More

PAN AFRICAN,GWAMBINA KUNANI HUKO WAUNGWANA?

KUNANI pale ndani ya Pan African moja ya timu yenye historia kwenye ulimwengu wa mpira ila ghafla kwa sasa mambo yanaonekana kwenda tofauti. Tunaona kwamba kwenye mzunguko wa pili upepo umebadilika kwa mabingwa hawa wa ligi mwaka 1982 bado hawajawa kwenye mwendo mzuri. Kocha aliyekuwa akiwafundisha hivi karibuni tulipewa taarifa kwamba ameshachimbishwa kisha akafuata kipa…

Read More

Lamine Yamal Aibua Gumzo Baada ya Kuinua Bendera ya Palestina

Nyota chipukizi wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Spain, Lamine Yamal, ameibua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kuonekana akiinua bendera ya Palestine wakati wa sherehe za ubingwa wa La Liga zilizofanyika mitaani Jumatatu. Tukio hilo lilitokea saa chache baada ya Barcelona kuifunga Real Madrid mabao 2-0 katika mchezo wa El Clásico, ushindi uliowahakikishia…

Read More

AZAM FC KUPASHA MISULI NA KMC

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wanatarajia kumenyana na KMC Uwanja wa Azam Complex kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC kesho Machi 27. Timu hiyo imepoteza vigezo vya kutwaa ubingwa wa ligi baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Ihefu na kugotea na pointi zao 47. Mkononi wana kete tano kukamilisha mzunguko wa pili ambapo…

Read More

MATAJIRI AZAM HAO FAINALI NGAO YA JAMII

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wametinga hatua ya fainali Ngao ya Jamii kwa ushindi wa mabao 5-2 Coastal Union katika hatua ya nusu fainali. Ni Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar nusu fainali ya kwanza imechezwa anasubiriwa mshindi wa nusu fainali ya pili kati ya Yanga na Simba, Uwanja wa Mkapa Sillah alipachika bao dakika…

Read More

Chelsea Yapigwa, Liverpool Yang’ara, Barcelona Yapindua Meza Ulaya

Usiku wa jana umeshuhudia matokeo tofauti katika michezo ya Ulaya, huku Chelsea ikipoteza ugenini, Liverpool ikiwahi dakika za mwisho, na Barcelona ikitoa burudani ya kupindua meza. Atalanta 2-1 Chelsea Chelsea imekubali kipigo cha 2-1 dhidi ya Atalanta kwenye mchezo uliochezwa ugenini.Matokeo: ⚽ 55’ Gianluca Scamacca (Atalanta) ⚽ 83’ Charles De Ketelaere (Atalanta) ⚽ 26’ Pedro…

Read More