Jumatatu ya Leo Pesa Zipo Meridianbet

Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania meridianbet inakwambia hivi wameshakuwekea machaguo uyapendayo na ODDS za kibabe hivyo kazi inabaki kwako wewe kusuka mkeka na kuchagua timu zako za ushindi sasa. Darubini yangu inaanza kumulika ligi kuu ya Italia SERIE A, ambapo hapa kutakuwa na mechi za kukata na shoka kabisa Cagliari atakiwasha dhidi ya Hellas Verona…

Read More

SERIKALI YAIPA TANO YANGA

NAIBU Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma amewapa tano viongozi wa Yanga kwa kuandaa usafiri wa basi kwa ajili ya mashabiki kuelekea Afrika Kusini. Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns baada ya ule wa mkondo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa kutoshana…

Read More

NGOMA NI NZITO KIMATAIFA KETE ZA UGENINI

BAADA ya Machi 12 2024 droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika kupangwa ambapo kila timu iliyokuwa hatua ya robo fainali ilipata fursa ya kutambua kigogo yupi atakutana naye ndani ya uwanja kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza. Ipo wazi kwamba Simba kete yake ilikuwa dhidi ya Al Ahly ya Misri mchezo uliokuwa ukisubiriwa kwa shauku…

Read More

MWAMBA AUCHO YUPO FITI ANAPIGA MAZOEZI

KIUNGO wa kazi ndani ya Yanga Khalid Aucho mdogomdogo anazidi kurejea kwenye ubora wake akiendelea na mazoezi kwa ajili ya kuwa tayari kwa mechi za ushindani kitaifa na kimataifa. Nyota huyo alikosekana kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns kwa kuwa alikuwa hajafikia asilimia 100 ya kuwa tayari kwa mapambano kwenye…

Read More

AL AHLY WAMEACHA BALAA SIMBA, TAMKO LATOLEWA

WAARABU wa Misri, Al Ahly wameacha balaa zito ndani ya Simba kutokana na kuwaduwaza Uwanja wa Mkapa wakisepa na ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali. Kazi kubwa kwa Simba ni kupambana kusaka ushindi kwenye mchezo wa mkondo wa pili unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Taifa wa Cairo Aprili 5 2024….

Read More

SIMBA HAIJAPOTEZA MATUMAINI

UONGOZI wa Simba licha ya Machi 29 2024 mambo kuwa magumu kwao kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 0-1 Al Ahlyumebainisha kuwa matumaini bado yapo kufanikisha malengo yao. Ipo wazi kwamba malengo ya Simba kwenye anga la kimataifa ni kufika hatua ya nusu fainali jambo ambalo wanalipambania kwa sasa. Katika mchezo huo…

Read More

YANGA: WANAOFIKIRI MWISHO WETU UMEFIKA HAWATAAMINI

ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wale wengi wanaofikiria safari ya Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika itagotea hatua ya robo fainali hawataamini macho yao kwa kuwa wanaamini watafanya vizuri. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, Machi 30 inatarajiwa kutupa kete ya kwanza katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya…

Read More

MERIDIANBET YAGAWA REFLECTORS KWA BODABODA

Hii inaweza kusema wamefikiwa sasa kwani baada ya mabingwa michezo ya kubashiri Meridianbet kupita maeneo mbalimbali ya jijini Dar-es-salaam lakini hawakua wamefika katika eneo la Magomeni na kutoa msaada. Meridianbet wamelifikia eneo la Magomeni na kufanikiwa kugawa Reflectors kwa Bodaboda wa eneo hilo kama ilivyo utaratibu wa kampuni ya Meridianbet kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii yao…

Read More