
FISTON KALALA MAYELE KAZINI KWAKE KUNA KAZI LEO
Mshambuliaji wa kimataifa wa Congo DR na klabu ya Pyramids FC ya Misri Fiston Mayele, anashuka dimbani leo kusaka tiketi ya kuwania kufuzu hatua ya Robo Fainali akiwa ugenini dhidi ya klabu ya Sagrada Esperanca ya Angola. Pyramids atatinga rasmi katika robo fainali ya michuano hiyo kama atapata ushindi wowote na kufikisha alama 10 katika…