
SIMBA WANATAMBUA WANAKAZI KUBWA, KAMPENI YAFANA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa una kazi kubwa kupambana kimataifa kumaliza nafasi ya kwanza huku wakiwa na kazi yakucheza mchezo huo Uwanja wa Mkapa bila ya uwepo wa mashabiki. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally amesema kuwa wanatambua kwamba mchezo wao ni mgumu na watafanya kazi kubwa kwenye mchezo huo…