KALI ONGALA AKIRI LIGI NI NGUMU

KALI Ongala, Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara ni mgumu kwa kuwa kila timu inahitaji pointi tatu. Ongala amekuwa kwenye mwendo bora na kikosi cha Azam FC ambapo mchezo wake wa kwanza aliwatungua Simba bao 1-0 Uwanja wa Mkapa na mtupiaji alikuwa ni Prince Dube. Ushindi…

Read More

SIMBA WABAINISHA WAMECHOKA KUFUNGWA NA YANGA

UONGOZI wa Klabu ya Simba, umekiri kuwa umechoka kufungwa na Yanga, na safari hii watapambana kuhakikisha kuwa wanaibuka na ushindi katika mchezo wa ligi kuu leo Jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Simba wameshindwa kupata matokeo katika michezo minne iliyopita ambayo walikutana na Yanga, wakiambulia sare mbili na vipigo viwili, mmoja wakipoteza katika nusu fainali…

Read More