
KOCHA MPYA YANGA ATAJA NGUZO MUHIMU
IKIWA ni mchezo wake wa kwanza kimataifa akiwa kwenye benchi la ufundi la Yanga, Kocha Mkuu, Sead Ramovic amesema kuwa hakuna staa ndani ya timu hiyo huku nguzo zake kuu anazosimamia ikiwa ni nidhamu na kujituma kwa wachezaji wake. Mchezo wa leo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa saa 10:00 jioni ambapo mashabiki wameitwa kujitokeza kwa…