MWAMBA WA MATUKIO AHOUA, KAZI IPO KWA MKAPA

KWENYE mchezo dhidi ya Pamba Jiji Novemba 22 2024 nyota wa Simba, Jean Ahoua anaingia kwenye orodha ya wachezaji waliopoteza pasi nyingi katika dakika 45 ambazo alicheza. Hajawa katika utulivu mchezaji wa matukio muhimu lakini katika ukabaji bado hajawa imara anapaswa kuongeza juhudi zaidi. Miongoni mwa dakika ambazo alipoteza pasi ilikuwa dakika ya 15, 16,…

Read More

BETI NA MERIDIANBET MECHI ZA UEFA LEO

UEFA leo ni moto kwelikweli kwani mechi kibao zinapigwa kwenye viwanja mbalimbali. Nani kukupa pesa Jumanne ya leo?. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Mtanange wa mapema ni huu wa AC Milan ambaye atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Slovan Bratslava ambaye ndiye kibonde wa michuano hii akiwa kafungwa mechi zote hadi sasa….

Read More

SIMBA YAZITAKA POINTI TATU KIMATAIFA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unatambua ugumu uliopo kwenye mchezo wao dhidi ya Bravos ya Angola ila mpango mkubwa ni kupata pointi tatu Uwanja wa Mkapa. Ni Novemba 27 2024 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa ikiwa ni hatua ya makundi. Simba ipo chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids aliyetoka kuvuna pointi tatu kwenye mchezo wa…

Read More

YANGA YAWAITA MASHABIKI KIMATAIFA

NAHODHA wa Yanga, Bakari Nondo amesema kuwa matokeo yaliyopita kwenye mechi za ligi hayajawaondoa kwenye reli hivyo watapambana kupata matokeo kwenye mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Yanga kwenye mechi mbili za ligi mfululizo ambazo ni dakika 180 ilipoteza ilikuwa Yanga 0-1 Azam FC kisha kete ya pili…

Read More

MGENI RASMI SIMBA KIMATAIFA NOMA, KAZI INAENDELEA

KUELEKEA kwenye mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika kwa Simba dhidi ya Bravos mgeni rasmi wa mchezo huo ni pasua kichwa kuwa hayupo kwenye orodha ya wachezaji yeye ni Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally. Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ipo kwenye maandalizi ya mwisho kwa ajili…

Read More

DIARRA KAKIMBIZA KINOMA YANGA

MWAMBA Djigui Diarra kipa namba moja wa Yanga msimu wa 2024/25 amekimbiza kwa kutimiza majukumu yake akiwa langoni kwa kuanza jumla ya mechi 9 kikosi cha kwanza. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mechi 10 wamecheza kwenye ligi na ushindi ni mechi 8 huku kichapo ikiwa ni kwenye mechi mbili ambazo zote alianza langoni Diarra. Katika mechi…

Read More

Meridianbet Inasema Pinga Ukatili kwa Wanawake Okoa maisha

Katika kuadhimisha siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake, Meridianbet inaungana na watu wote kuhakikisha kuwa inasimama ngangari kuwalinda wanawake wote. Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake, inayofanyika kila mwaka tarehe 25 Novemba ambapo katika kuadhimisha siku hii muhimu, Meridianbet imezindua kampeni maalum ya kijamii ya “PINGA UKATILI, SIMAMA NA…

Read More

Maliza Wikendi Yako Ukiwa na Jamvi la Meridianbet

Wikendi ndio hiyo inaenda kuisha hivyo, kama jana ulikosa pesa basi unaweza ukajaribu leo henda leo ndio bahati yako kwani timu kibao zinaingia uwanjani kusaka pointi tatu. Wewe unasubiri nini kusaka pesa? Kivumbi kitakuwepo leo hii kwenye LALIGA  ambapo CA Osasuna atamkaribisha kwake Villarreal ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee huku mara…

Read More

DR LIONESS, FOX DIVAZ KUWANIA UBINGWA WA betPawa NBL

 FAINALI ya Wanawake mashindano ya Klabu bingwa ya mpira wa kikapu nchini “betPawa NBL” itafanyika Jumatano Novemba 20, 2024 kwa mechi ya DB Lioness na Fox Divers Uwanja wa Chinangali, mkoani Dodoma. Fainali hiyo imepangwa kuanza saa 12.00 jioni inatarajiwa kuwa na upinzani mkali kutoka kwa wachezaji wa timu zote mbili. Fox Divaz wamefuzu hatua…

Read More

CHELSEA, CITY, BARCELONA, LEIPZIG KUKUTAIRISHA

Leo ni wewe tuu ushindwe kuondoka na mapene ya maana ukitulia na kusuka jamvi lako la uhakika. Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ligi kuu ya Italia SERIE kuendelea leo ambapo mechi ya mapema kabisa ni hii ya Hellas Verona dhidi ya Inter Milan ambao wanahitaki ushindi ili wake kileleni. Mara ya…

Read More

LIGI KUU YA TANZANIA BARA INAENDELEA TENA LEO JUMAMOSI

Ligi Kuu ya Tanzania Bara inaendelea tena leo Jumamosi, Novemba 23, 2024, ambapo Matajiri wa Chamazi, Azam FC, watakuwa nyumbani kuwakaribisha Wanankurukumbi, Kagera Sugar, katika Uwanja wao wa Chamazi Complex. Mchezo wa Azam FC dhidi ya Kagera Sugar utapigwa saa 1:00 usiku. Michezo mingine ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayopigwa leo: • Saa 8:00 mchana,…

Read More