
FAMILIA YA MICHEZO YAFANYA KWELI KWA VITENDO, VINGUNGUTI BALAA
WAKATI familia ya michezo Novemba 27 2024 wakiwa kwenye shangwe la ushindi baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-0 Bravos ya Angola kulikuwa na kivumbi kingine cha ushindi kwa wakazi wa kata ya Vingunguti na vitongoji vyake. Ipo wazi kwamba Novemba 27 2024 kulikuwa na uchaguzi wa Serikali za mitaa…