
ORODHA YA MAKOCHA BONGO WASIOKIDHI VIGEZO, SIMBA, YANGA NDANI
KATIKA orodha ya makocha ambao hawajakidhi vigezo vya kukaa benchi katika mechi za Ligi Kuu Bara wapo pia makocha kutoka timu zilizomaliza nafasi tatu za juu. Timu hizo ni Yanga, Simba na Azam FC ambazo zote zitashiriki mashindano ya kimataifa. Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF), Agosti 15 lilitoa orodha ya makocha ambao hawajakidhi vigezo vya…