
FEI TOTO ATOA SIRI YA MABAO YA KIDEONI
KIUNGO mzawa wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amebainisha kuwa amezoea kufunga mabao magumu jambo ambalo halikumpa shida kuwatungua KMC. Nyota huyo ambaye juzi Jumanne alifunga bao la kideoni nje ya 18 na kutoa asisti katika ushindi walioupata Yanga wa mabao 2-0, amesema ataendelea kufunga kwa staili hiyo kila akipata nafasi. Akizungumza na…