
SIMBA KUNA UMUHIMU KUBORESHA ENEO LA MLINDA MLANGO
MAKOSA ya Salim Juma ni yaleyale ndani ya dakika 180 ambazo amefungwa kwenye mechi mbili za Ligi Kuu hivi karibuni. Kipa huyo alipewa majukumu kwenye mechi kubwa pia ikiwa ni dhidi ya Yanga ambapo hakufungwa. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa wa ligi msimu wa 2022/23 huku Simba wakigotea nafasi ya pili. Mchezo dhidi ya Namungo…