YANGA MATUMAINI YAKUTOSHA KIMATAIFA

NASREDDINE Nabi Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ado mchezo haujaisha kwenye anga la kimataifa licha ya kupoteza kweye fainali ya kwanza. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 1-2 USM Alger ya Algeria. Bao pekee la Yanga limefungwa na Fiston Mayele ambaye anafikisha jumla ya mabao 7 kwenye anga za…

Read More

MTIBWA SUGAR WAJENGA NGOME YAO

MTIBWA Sugar U 20 ni mabingwa mara ya tano katika Ligi ya Vijana ukiwa ni utawala mkubwa kwao. Sio Azam FC, Simba, Yanga wala Geita Gold ambao wamefanikiwa kuonyesha makeke mbele ya timu hiyo. Katika fainali iliyochezwa Julai 2, 2023 Uwanja wa Azam Complex waliibuka washinda kwenye mchezo huo. Ubao wa Uwanja wa Azam Complex…

Read More

Morocco 1-0 Tanzania, AFCON 2025

Morocco 1-0 Tanzania raundi ya 16 bora mchezo uliokamilika nchini Morocco kwa wababe wawili kukamilisha dakika 90 za kazi. Goli limefungwa na Brahim Diaz dakika ya 64. Wachezaji wa Tanzania wamepambana kwa ajili ya nembo bila kukata tamaa. Mashuti yaliyopigwa ni 16, Morocco 12-4 Tanzania Yaliyolenga lango ni 3 kwa Morocco na Tanzania 1 Umiliki…

Read More

BEKI AVUNJA MKATABA SIMBA

BEKI mwili nyumba wa Simba, Mohammed Ouattara, ameona isiwe shida na kufikia makubaliano mazuri na klabu hiyo, ya kuvunja mkataba ili aondoke hapo Msimbazi. Outtara ni kati ya wachezaji waliosajiliwa na Simba katika usajili mkubwa msimu huu akitokea Al Hilal ya nchini Sudan akisaini mkataba wa miaka miwili. Beki huyo alisajiliwa na Simba kwa ajili…

Read More

AZIZ KI ATAJWA KICHAPO CHA KURUGENZI

KOCHA msaidizi wa Kurugenzi FC, Bernard Magogo amesema kuwa sababu kubwa iliyowavuruga wachezaji wake wakapoteza kwa kufungwa mabao 8-0 ni safu ya kiungo ya Yanga iliyokuwa inaongozwa na Aziz KI. Desemba 11,2022 Kurugenzi FC ilikubali kupoteza mchezo wa raundi ya Pili jambo lililoifanya ikafungashiwa virago na mabingwa watetezi.  Magogo amesema kuwa walikuwa na mbinu walizopanga…

Read More

YANGA WAMPA TANO NABI

NAHODHA wa Yanga, Bakari Mwamnyeto, amefunguka kuwa kwa sasa nyota wa kikosi hicho wanafurahia zaidi mfumo wa soka la pasi nyingi, ambao unafundishwa na kocha mkuu Nasrredine Nabi, kulinganisha na utamaduni wao wa awali wa kutumia mipira mirefu.   Tangu msimu huu umeanza kocha Nabi anaonekana kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kuibadilisha Yanga ambayo sasa inacheza mpira wa pasi nyingi, tofauti na hapo awali ambapo walikuwa wakitumia mipira mirefu.  …

Read More

BEKI MTIBWA SUGAR KUPUMZISHWA SHINYANGA

IDDY Mobby aliyekuwa beki wa Mtibwa Sugar baada ya kutangulia mbele za haki mwili wake umepelekwa leo Machi 6,2023 nyumbani kwao mkoani Shinyanga. Maziko yanatarajiwa kufanyika kesho Machi 07, 2023. Beki huyo ambaye amewahi kucheza Polisi Tanzania alipokuwa ni nahodha taarifa za kutangulia mbele za haki zilitolewa Machi 5. Alikutwa na umauti alipokuwa akipatiwa matibabu….

Read More

MKALI WA MABAO YA MBALI KUWAVAA SIMBA

KUELEKEA Mzizima Dabi mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa wababe hawa wawili kuna mkali wa mabao ya mbali yupo ndani ya kikosi cha Azam FC huenda akawapa tabu wapinzani wao wakikutana ndani ya dakika 90 za kuvuja jasho. Ni Yoro Diaby nyota wa Azam FC anashikilia rekodi yakuwa nyota aliyefunga bao kwa umbali mrefu…

Read More

MECHI ZA USHINDI KWENYE MERIDIANBET WIKI HII

Ni muendelezo wa Ligi mbalimbali wikiendi hii, kwenye Epl Chelsea watarudi uwanjani kukipiga na Wolves siku ya Jumamosi kwenye dimba la Stamford Bridge, Chelsea wamekuwa na matokea mazuri kwenye mechi zao za nyuma, atakutana na Wolves aliyeshinda mechi moja tu kwenye Ligi. Weka utabiri wako na Meridianbet   Jini la kufunga mabao litakuwa uwanjani tena…

Read More