
KAZI IFANYIKE KWELI KATIKA NAFASI ZINAZOPATIKANA
INAPOPATIKANA nafasi uwanjani ni muhimu kwa wachezaji kuitumia kwa umakini. Wapo wale ambao walishindwa kuonyesha uimara kila walipopata nafasi mwisho wakapoteza kila kitu. Maisha ya mpira ni nafasi ya kucheza inapokosekana ni muhimu kwa wachezaji kuitafuta kwa kufanyia tathimini kile ambacho kinawafanya wawe benchi, hivyo tu. Tunaona kwenye mechi za Mapinduzi 2024 kuna wachezaji waliopata…