CITY YAPIGA MTU KIFURUSHI CHA WIKI

MANCHESTER City kwenye mchezo wa UEFA Champions League wamemchapa RP Leipzig mabao 7-0. Uwanja wa Etihad ulisoma hivyo na kuwapa nafasi ya kusonga mbele kwa jumla ya mabao 8-0. Ni Erling Haaland alitupia kambani dakika ya 22 kwa mkwaju wa penalti, 24,45,53 na 57 mwamba aliwapa tabu Sana. Ilkay Gubdogan alitupia dakika ya 49 na…

Read More

HIZI HAPA SABABU YA SIMBA KUWEKA KAMBI UTURUKI

SIMBA wanatarajia kwenda Uturuki kuweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara, Ligi ya Mabingwa Afrika na mashindano ya ndani ikiwemo Azam Sports Federation (FA) 2023/24. Mataji hayo yote kwa msimu wa 2022/23 yalichukuliwa na watani zao wa jadi Yanga huku Simba ikipishana na mataji yote. Yanga iligotea nafasi ya kwanza kwenye…

Read More

UANZE MWAKA WAKO KIBINGWA NA MERIDIANBET

Una nafasi kubwa ya kuanza mwaka wako kibingwa na mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet, Kwani kupitia michezo mbalimbali ambayo itapigwa leo wewe mteja wao una nafasi kuufungua mwaka kwa shangwe. Kunako ligi kuu ya Hispania leo itapigwa michezo kadhaa ambayo imepewa ODDS KUBWA na za kibabe pale Meridianbet, Hivo mabingwa hao wa…

Read More

MANCHESTER UNITED YATWAA CARABAO

KOMBE la Carabao mikononi mwa Manchester United baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Newcastle United Casemiro alianza kufunga dakika ya 33 na nyota Steven Batman alijifunga dakika ya 39. Mastaa wa Manchester united wamejawa na furaha tele kwa kutwaa taji hilo ambalo ni kubwa kwao. Nahodha Harry Maguire amekabidhwa taji hilo kwenye mchezo…

Read More

HAALAND, MAN CITY BADO KIDOGO TU

MTENDAJI Mkuu wa Borussia Dortmund, Sebastian Kehl, amefunguka kuwa dili na hatma ya Erling Haaland itajulikana wiki ijayo. Haaland amekuwa akihusishwa kujiunga na timu tofauti za Ulaya, ingawa Manchester City ikionekana kuwa katika nafasi nzuri ya kumsajili. Staa huyo amekuwa kwenye kiwango bora tangu atue Dortmund, Januari 2020 akitokea RB Salzburg ya Austria.  Mwezi uliopita…

Read More

MUHIMU KUWA NA MAANDALIZI BORA KILA WAKATI

MWENDELZO mzuri unahitajika kwa wachezaji wote katika mechi ambazo wanacheza. Hali bado haijawa nzuri kwa baadhi ya wachezaji kufikiria mpira ni matumizi ya nguvu kubwa mwanzo mwisho. Ipo wazi kuwa mpira wa mchezo huwezi kuacha kutumia nguvu lakini ni muhimu kuwa makini. Kwenye msako wa pointi tatu ila ni muhimu kuwa makini katika kutimiza majukumu….

Read More

BEKI WA KAZI SIMBA ATAJWA KUIBUKIA SINGIDA

BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Simba Joash Onyango anatajwa kuingia kwenye rada za Singida Fountain Gate yenye maskani yake Singida. Jioni ya Julai 8 2023 ilikuwa ikisambaa picha iliyokuwa inamuonyesha mtu aliyefanana na Onyango akiwa ameshika mkataba wa Singida Fountain Gate. Taarifa zinaeleza kuwa picha hiyo imevujisha na mmoja ya watu wanaohusika na…

Read More

KOMBE LA YANGA LATUA KILELE CHA MT. KILIMANJARO

Baada ya msimu 2023/24 kumalizika Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC kwa mara ya tatu mfululizo, Klabu ya Yanga wamepeleka kombe lao walilobeba msimu huu kwenye kilele cha mlima mrefu kuliko yote Barani Afrika, Mlima Kilimanjaro. Kombe hilo leo Ijumaa Mei 31, 2024 limefika katika kilele cha Mlima Kilimanjaro. Kabla ya msimu kuanza, Simba SC…

Read More

HUU HAPA MTAMBO WA MABAO MTIBWA SUGAR

NDANI ya Ligi Kuu Bara mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Charles Ilanfya ametupia mabao manne akiwa ni namba moja kwa utupiaji kwenye kikosi hicho kilicho nafasi ya 12 na pointi 29. Ikumbukwe kwamba kinara wa utupiaji anatokea ndani ya Yanga ambaye ni Fiston Mayele mwenye mabao 16. Ni mabao 27 safu ya ushambuliaji ya Mtibwa Sugar…

Read More

LIGI KUU BARA KUENDELEA MBEYA,PALEPALE SOKOINE

 LEO Januari 18 kutakuwa na mchezo mmoja wa Ligi Kuu Bara ambapo Mbeya Kwanza itawakaribisha Azam FC kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sokoine. Itakuwa ni saa 10:00 jioni, ambapo uwanja huo jana ulitumika kwa Mbeya City kuweza kuitungua Simba bao 1-0 ambalo lilifungwa na Paul Nonga dakika ya 19. Mbeya Kwanza iliyo nafasi ya…

Read More