
HII HAPA RATIBA LIGI KUU BARA BONGO
LIGI Kuuu Bara ambayo inadhaminiwa na NBC ikiwa ni ligi namba nne kwa ubora Afrika bado inazidi kupasua anga taratibu ukiwa ni mzunguko wa pili. Februari 10 2025 kuna mechi ambazo zitachezwa katika viwanja tofauti kwa wababe kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja. Ngoma inatarajiwa kuwa namna hii leo:- KenGold v Fountain Gate, Uwanja…