
FEI TOTO ANA BALAA HUYO
MKALI wa pasi za mwisho Bongo ndani ya Ligi Kuu Bara ambayo ni ligi namba nne kwa ubora Afrika balaa lake sio jepesi akiwa uwanjani kutokana na kasi anayoendelea nayo kiungo Feisal Salum mali ya Azam FC. Timu hiyo kwenye msimamo ipo nafasi ya tatu baada ya kucheza mechi 18 ikiwa imekusanya jumla ya pointi…