
MKALI WA PASI ZA MWISHO BONGO
KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ni namba moja katika wakali wa kutengeneza pasi za mwisho ndani ya NBC Premier League msimu wa 2024/25. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/34 nyota huyo alitoa jumla ya pasi saba alikuwa ni namba mbili na namba moja alikuwa Aziz Ki wa Yanga aliyetoa pasi 8. Ki kwa sasa ni…