
ATEBA KATUPIA TATU KWA PENALTI BONGO
MSHAMBULIAJI kiongozi kwenye safu ya ushambuliaji Leonel Ateba ni mabao matano amefunga kibindoni msimu wa 2024/25 akiwa amecheza mechi 9 na kukomba dakika 673. Kwenye mechi mbili mfululizo Ateba amekuwa kwenye mwendelezo wa kufunga ndani ya ligi na kutwaa tuzo ya mchezaji bora mara baada ya dakika 90 kukamilika. Ikumbukwe kwamba mchezo dhidi ya Pamba…